Heee!we nawe umezidi kaah!yaani hata hapo mjini hupajui[emoji16][emoji3][emoji204][emoji3][emoji16]Kigoma mjini hapa..
Ukiniuliza kuhusu hitel na lodge itakua ngumu coz sipo interested na kujirusha na sijawahi. Nazisikia tu zile kubwa kubwa
Hiltop Hotel na Lake Tanganyika Hotel, hizo ni Hotel za kitalii.Miaka ya 2000 hz ndizo zilikua kubwa kwa kigoma, kubwa kubwa km zipi? Nimekaa kilima hewa kule juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, ndio maana nimeona niache tu,unaweza ukawa unachat na mwanao wa kuzaa ,ujanani
Weee koma huwezi niizaa mimii labda nikusaidie tupate mtoto pamoja. Mwanaume hawi modogo
DharauHahaha, ndio maana nimeona niache tu,unaweza ukawa unachat na mwanao wa kuzaa ,ujanani
Sent using Jamii Forums mobile app
I mean that. Nimezaliwa na kukulia hapa mjini nilikua sijawahi toka hapa mpaka nilippanza safari za masomo..Heee!we nawe umezidi kaah!yaani hata hapo mjini hupajui[emoji16][emoji3][emoji204][emoji3][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lake Tanganyika niliiacha imefungwa ,ingawa huduma km vinywaji zilikuwepo,palipokua pana kiki ni hapo Stanley , miaka 2000 ,kwa sasa najua patakua pame endelea sanaHiltop Hotel na Lake Tanganyika Hotel, hizo ni Hotel za kitalii.
Pia zipo nyingine ambazo ukipenda waweza kuziita Lodge za kiwango cha juu kabisa: Green View, Coast View, Living Stone, Leaders, White House n.k
Kigoma ya sasa ni tofauti sana na kigoma ya miaka 10 iliyopita, kigoma hii imechangamka sana na inapiga hatua kwa haraka japo changamoto bado zipo lkn inatia matumaini. Karibu tena kigoma kwa mara nyingine mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina 5.8feet naweza fika 6 muda wowote..Nafikir jins ulvyo mfup
a e i o u
4.2 feet hapa naweza fika 3.9 muda wowoteNina 5.8feet naweza fika 6 muda wowote..
Weee jinga kwelii4.2 feet hapa naweza fika 3.9 muda wowote
a e i o u
Kwa nn mkuu unaniita mjinga [emoji120] [emoji120]Weee jinga kwelii
Nayo ni kazi mkuuAkat mm ni mbeba mizigo vingunguti
a e i o u