Umewahi kufika Kigoma?

Umewahi kufika Kigoma?

Miaka ya 2000 hz ndizo zilikua kubwa kwa kigoma, kubwa kubwa km zipi? Nimekaa kilima hewa kule juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiltop Hotel na Lake Tanganyika Hotel, hizo ni Hotel za kitalii.
Pia zipo nyingine ambazo ukipenda waweza kuziita Lodge za kiwango cha juu kabisa: Green View, Coast View, Living Stone, Leaders, White House n.k
Kigoma ya sasa ni tofauti sana na kigoma ya miaka 10 iliyopita, kigoma hii imechangamka sana na inapiga hatua kwa haraka japo changamoto bado zipo lkn inatia matumaini. Karibu tena kigoma kwa mara nyingine mkuu.

Lake Tanganyika niliiacha imefungwa ,ingawa huduma km vinywaji zilikuwepo,palipokua pana kiki ni hapo Stanley , miaka 2000 ,kwa sasa najua patakua pame endelea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom