Mimi nilikopa pesa kwa mtu wa kawaida, si taasisi. Nilivyochelewa kulipa nikagundua kuna watu kudai ni kipaji walichozaliwa nacho! Simu ikilia moyo ulikuwa unaenda kasi, Notification ikingia, hata kabla sijafungua nilikuwa nachoka, hadi alianza kuazima simu za watu wengine nikipokea nikisikia sauti yake naishia kupumua tu. Mwishowe nikazima simu kabisa, nikajifanya dunia haina mawasiliano!
Niliwahi kutafutiwa kazi kiwandani. Siku ya kwanza tu Joto, shughuli nzito na uchovu vilinipokea rasmi. Sikuweza kuendelea, niliacha ndala ! Simu ya kiwanda ikianza kupiga nilikuwa naiangalia tu, aliyenitafutia kazi alipoanza kunipigia nilizima simu kukwepa lecture