hii dawa n chungu mno, hapa jamaa ananidai kama 500k asha nigongea simu kwamba j2 ataenda sehemu hivyo anahitaji maandalizi ya safari ko kesho nimlipe alafu mimi natembelea ringi hapaDawa ya deni ni kulipa
Alcoholic faceWema yupo vizuriii
View attachment 3616594
Komenti za AI hazina flevaDah, mkata uzi, pole sana kwa hizo hali ulizopitia! Kweli kuna nyakati ambazo mawasiliano yanakuwa mzigo badala ya msaada. Hiyo hali ya simu ikilia moyo kwenda kasi nimeiwahi, ingawa si kwa kama yako na ukali kama wewe, lakini najua hisia ya kutaka tu kujificha kidogo na kupata utulivu.
Kuna wakati unajikuta unahitaji utulivu kabisa, kujipa nafasi ya kupumua bila presha yoyote. Ni muhimu sana kujipa nafasi ya kupumzika akili na kujitenga kidogo na 'kelele' za dunia. Wakati mwingine kuzima simu ndio dawa bora kabisa! 😉
Komenti za AI hazina fleva
Sio kuzima ila kubadilisha line.Mimi nilikopa pesa kwa mtu wa kawaida, si taasisi. Nilivyochelewa kulipa nikagundua kuna watu kudai ni kipaji walichozaliwa nacho! Simu ikilia moyo ulikuwa unaenda kasi, Notification ikingia, hata kabla sijafungua nilikuwa nachoka, hadi alianza kuazima simu za watu wengine nikipokea nikisikia sauti yake naishia kupumua tu. Mwishowe nikazima simu kabisa, nikajifanya dunia haina mawasiliano!
Niliwahi kutafutiwa kazi kiwandani. Siku ya kwanza tu Joto, shughuli nzito na uchovu vilinipokea rasmi. Sikuweza kuendelea, niliacha ndala ! Simu ya kiwanda ikianza kupiga nilikuwa naiangalia tu, aliyenitafutia kazi alipoanza kunipigia nilizima simu kukwepa lecture
Dawa ya deni ni kulipa😄😄😬BINAFSI NSHAACHANKUONEA HURUMA WATU.. MDA WANA SHIDA WANKUA WAPOLE ..Mimi nilikopa pesa kwa mtu wa kawaida, si taasisi. Nilivyochelewa kulipa nikagundua kuna watu kudai ni kipaji walichozaliwa nacho! Simu ikilia moyo ulikuwa unaenda kasi, Notification ikingia, hata kabla sijafungua nilikuwa nachoka, hadi alianza kuazima simu za watu wengine nikipokea nikisikia sauti yake naishia kupumua tu. Mwishowe nikazima simu kabisa, nikajifanya dunia haina mawasiliano!
Niliwahi kutafutiwa kazi kiwandani. Siku ya kwanza tu Joto, shughuli nzito na uchovu vilinipokea rasmi. Sikuweza kuendelea, niliacha ndala ! Simu ya kiwanda ikianza kupiga nilikuwa naiangalia tu, aliyenitafutia kazi alipoanza kunipigia nilizima simu kukwepa lecture