Umewahi kufikiria siku ukikatwa uume utaishije?!!!

Ndiwo ndiwoooo wachape nao hadi mkimalizana wakiondoka wajikute wanarecall matukio namna umewakuna wanacheka wenyewe Mzee mwenzangu akii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itasikitisha na kuhuzunisha kwa muda alafu hali itazoeleka...

Sasa mwanamke wako atakazwaje nje wakati ushasema endapo wanaume wote tutakatwa uume zetu...



Cc: mahondaw
 
Wewe unawaza tu ,lakini mwenzako alifanya kweli kwa kuwa anataka kumtumikia Mungu.
 
Mwana - Ume, ukiondoa Ume utabaki mwana , maana yake hujakamilika na dunia haikuhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…