Umewahi kufikiria siku ukikatwa uume utaishije?!!!

Umewahi kufikiria siku ukikatwa uume utaishije?!!!

Itasikitisha na kuhuzunisha kwa muda alafu hali itazoeleka...

Sasa mwanamke wako atakazwaje nje wakati ushasema endapo wanaume wote tutakatwa uume zetu...



Cc: mahondaw
 
Nawaza tu. Katika hali ya kawaida,iwe kwa ajali au vinginevyo. Nitawezaje kuishi bila uume. Kwa wale wasiojua uume ni sehemu za siri za nwanaume katikati ya mapaja zimefungamana na korodani.

Uume ndio unanifanya nionekane mwanaume,niheshimike ndani ya 6 kwa 6,mke wangu anililie pale ninapochepuka. Kama sina uume si ndoa itakufa hata kama napendwa sana. Mke wangu itakuweje,si nitakuwa siwezi kumkaza?akikazwa nje nitamlaumuje wakati sababu ninazo.

Kwa kweli ukomo wangu wa kufikiria umefika ukingo. Tusaidiane wakuu. Itakuwaje kidume bila uume hata wa kuzugia tu(usio na nguvu)
Wewe unawaza tu ,lakini mwenzako alifanya kweli kwa kuwa anataka kumtumikia Mungu.
 
Mwana - Ume, ukiondoa Ume utabaki mwana , maana yake hujakamilika na dunia haikuhitaji.
 
Back
Top Bottom