Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

Honestly kwangu Hapana,
ila nmeona kwa wengi wa karibu yangu wakifilisika na kubaki majuto.
(Hii imenipa funzo pia)

Kiukweli,
Bajeti yangu ya mapenzi huwa Ni kile Cha ziada tu, na sio eti najitoa kwa Hali na Mali[emoji4]

(Ndo maana hata siku Moja sijawahi kubreak up na mwanamke afu eti nikamdai nilivomnunulia au kudai fidia)

Nikiona mapenzi yanaingilia mzunguko wangu wa Ela, huwa nachukua hakua za haraka sana (ziwe mbaya au nzuri au zakuumiza) ilimradi tu kurescue situation [emoji4]
Niko hivi pia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nshasema huu ukuda wa kukwanguana hela na watu tumejuana ukubwani hapana[emoji23][emoji23]mda wowote anaamsha aiseeh labda hela zile za ziada ambazo hazina michongo
Yeah for sure, muhimu kupambania Maisha yako 1st
 
Back
Top Bottom