Umewahi kufumaniwa na wazazi wako ukisaka papuchi?

duuuu ile mzee wako alkuwa kiboko,hahahahaaa😀😀😀😀😀😀
 
hatari sana
 
Aseee... n aibu kwetu lkn kwa Wazee kwao n faraja
 
Kuna siku niko na demu road namsindikiza mida ya jioni jioni eneo flani hakuna makazi ya watu, tunatembea demu kaweka mkono begani mimi nimeshika kiuno, aiser sijui mshua alitokea wapi na pikipiki😂😂😂😂 Nilistukia mtu yupo hapo mbele nikashindwa cha kufanya ikabidi tubaki hivyo hivyo hadi tukapishana.
Sikuwahi kuulizwa chochote.
 
Mwaka juzi tu hapo nilimpiga picha demu kwenye chumba changu na kasimu Cha Nokia kidogo tu nikakatoa betri na kalikua kabovu flani nikaenda shule kumaliza paper la six narudi nakuta ile simu kweny manguo niliyoweka siioni nakaa Kama week bimkubwa naikuta ameweka betri lake aniitumia

Nkakimbilia kwenye gallery kucheki na kuta na picha za bi mkubwa na madogo Yani nilichoka na ile picha ipo ya manzi kavaa kanga
.Ila hakuna aliyesema [emoji45][emoji45][emoji45]

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Mama yangu alinifuma navitandika gegedo vitoto vyenzangu, vyenyewe vitatu nimeviweka style ya mafiga au triangular trade. Kama mnavyojua ukiwa hujabalehe gegedo likisimama huwa hakuna kulala labda uchoke mwenyewe.

Basi bhana kumbe maza kaja muda mrefu akakuta mwanae napiga show, kila mmoja nilikuwa nishachapa rungu, ila mmoja ndiyo alikuwa analalamika et ninachelewa kumfikia ndiyo maza akajua store kuna watu.

Kabla ya hapo maza alikuwa ameshawaonya majirani waache tabia ya kuniita mkwe,,,,, kwahiyo aliniacha nikagegeda weee baadae akaenda kuwaita wale mjirani. Nashangaa vuuuh! watu kama watano hivi wamevamia kile chumba! Asee nilishtuka nikaruka pembeni huku kigegedo kinasoma 4G wakaishia kucheka..
Halafu baadae ndiyo kichapo kikaanza kwa vile videmu.

Mimi maza aliniambia nikwende kufagia mavi ya kuku kwenye banda kesi kwisha


I love you mama,,,

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]sema hiyo username nayo sidhani kama umeacha mpaka sasa.maana nyinyi watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka inaenda kasi sana; kipindi nipo chuo sasa tuliwahi kumaliza UE nikarudi home, kuna nyumba zetu zingine karibu na nyumbani tulizifanya hostel make zilikua karibu na chuo flani hivi kinachotoa adi ngazi ya diploma na nikakuta wanachuo hao hawajafunga.

Kufika nyumbani nikachukua gari ya mama make alienda safari japo sikujua anarudi lini; nikapita pale kwa wanachuo nikamchukua mdada mmoja hivi alikua ananisumbua kiasi sasa ndo ikawa nimepata nafasi ya kumtoa out. Tukavinjari huko mjini tukarudi mida ya jioni; nikafikia hostel kwa wanachuo nimwache mtoto kwanza ndo niingize gari ndani kumbe mama alisharudi amesikia mngurumo wa gari akatoka nje ya geti then anashudia namfungulia mtoto mlango wa gari ili ashuke..alituangaliaa mpaka mtoto ananiaga kwa mabus tele ndo nageuza kichwa namcheki bi mkubwa amesimama anatuangalia...daa ilikua aibu sana.

Nilirudisha gari ndani nikaingia chumbani mpaka kesho yake na wala hakuniambia kitu; ila kesho ndo sista mkubwa ananiambia kua mama alimwambia akigomba sana na alichukia mpaka alitamani ampige yule mtoto..
Haya mambo ya ujana bwana.
 
Reactions: amu
Angemuacha apige goli kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha mzee umeanza zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…