Umewahi kuibiwa gari?

Bora wewe uliingiza faida
eeeeh! Wakati unaiba unakuwa unajisijiaje?

Niliiba gari la baba'ngu wakati amesafiri, alivyokaribia kurudi nikalirudisha. Nilitesaje kitaa, hahaaa.
 

I hope umekua sasa
OTIS
 
Mimi nilipaki gari kwenye mzunguko wa soko la Kariakoo nikaingia shimoni nilipotoka nikatokea upnade mwingine na ugeni wa soko kipindi hicho nilikuwa nakimbia kama mwizi around soko na kagari kenyewe ka mkopo hata mwezi nilikuwa sijamaliza.Ilinichukua kama nusu saa hivi kuipata hapa jasho lishanitoka sehemu zote za mwili.
 
I hope umekua sasa
OTIS
Yes,OTIS, namshukuru mungu kwa sasa nimekua,
Wakati ule ilikuwa 2002 na sasa 2012,
Ila inapokuja ishu ya kuibiwa gari mmmh!hapo hakuna cha utoto wala ukubwa!
 
hahahahah!pole sana,
Ila umenichekesha sana lol,
Naimjin ndio una kakitambi flan,alafu ulikuwa umechomekea na mokasin flan,na zile purukushani za pale huku unakimbia kimbia ukiwa umeshamini ushalizwa lol!(joke)
 
hivi ukiibiwa gari hulipwi?nilfikiri ppolice watalipa'vipi kuhusu issuarance?hamna kitu?kama ni hivyo sitaki gari
 
Nimeibiwa gari "brand new" sio mtumba na niliitumia miezi mitatu tu. Nilialikwa sehemu futari (ilikuwa mwezi wa Ramadhan), baada ya futari na maongezi kidogo, kutoka niende zangu nyumbai nikakuta gari hamna, kwanza nilijiuliza hapa ndipo nilipopaki? nimekuja na gari hapa au nimepewa lifti? au mume wangu kaichukuwa kwenda msikitini (lakini hapo tulipoalikwa kufuturu walitoka na wenzake kwa gari nyingine)? Wenyeji wangu walionisindikiza nje wakaniambia, labda mumeo kaichukuwa. Tukarudi ndani.

Mume wangu nampigia simu nimuulize hpatikani, yupo mskitini. Na unajuwa salaa za Ramadhan za usiku (isha) zinakuwa ndefu maana wanaswali na taraweh. Kama saa 4 za usiku anaipigia kakuta miss calls zangu, namuliza ananiambia hajaichukuwa na aliposhuka na wenzake ilikuwepo. Allahu Akbar. Nikasema "hasbuna Llahu waneema 'lwakil". Tukaripoti polisi.

Baada ya siku tatu nikapigiwa simu gari yangu imepatikana niende polisi nikahakikishe. Kwenda kweli ni yangu. AlhamduliLlah.
 
Kumbe we tawi
shule na simu?
Afu unaibiwa unafunga safari?
Nimekupenda aisee

 


Kumbe una gari!
 
Sijui nikupige
utanizungushaje ubongo wangu hadharani.

Niliiba gari la baba'ngu wakati amesafiri, alivyokaribia kurudi nikalirudisha. Nilitesaje kitaa, hahaaa.
 

Du! Pole sana najua ulipiga dua sio mchezo!
 
Nimewahi kuibiwa ada na gardener ,alinitoroka mpaka kwao,nlipofika kijijini kwao nkaonyeshwa mama yake anaenda sokoni nkamwambia kama anatumia hela aliyopewa na mwanae ni ya wizi,gafla yule mama alienda kujisaidia choo cha sokoTulimkuta yule dogo kanunua nguo mpya ada ilirudiyote 300thou mwaka 1996.
 
Mi niliibiwa mpenzi
nilisafiri kurudi wee achatu nikakuta shoga yangu kaondoka nae wapo tanga huko
nililia hadi basi
 
Mimi jamaa wa breakdown waliibeba maeneo ya kariakoo kwa sababu kwamba niliegesha gari sehemu isiyotakiwa wakati nilipofika hapo kulikuwa na magari kibao yamepeki. Nilipofika gari hakuna nilishikwa na bumbuwazi na kujiuliza mara mia labda sikupaki hapo, kuna wakati nilihisi kujisachi gari mifukoni.. ilinichukua muda sana.. mpaka alipokuja mtu ambaye aliniona nikipark gari na kuniambia kilichotokea. Usiombe unaweza ukawa unasali uamke ndotoni.
 
Kumbe we tawi
shule na simu?
Afu unaibiwa unafunga safari?
Nimekupenda aisee
Unafanya mchezo na kufaulu kwenda 4m five!
Yani ilikuwa ndio zawadi baba alinihadi so nipofaulu tu mzee wangu akanikabidhi lol!
Aalafu hata sijafika shulen kwenyewe wakaniibia weeeeeee!
Mbona nilipagawa nikafunga safari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…