cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishamuona Mdosi aliyeibiwa Gari lake alichanganyikiwa na kuanza kulitafuta mifukoni na uvunguni mwa magari mengine...
Me ilishanitokea kusahau nilipo park gari langu airport na pia Kuna siku niliendesha Honda nikaipark BP nikaingia supermarket then nikatoka na kuiacha pale nikaenda job hadi jioni ndio nikaanza kuitafuta then nikakumbuka nilipoiacha oi..