Umewahi kuingilia ugomvi usiokuhusu halafu yakakukuta makubwa?

Tushagombana mwenzio alotuamulia keshajishindia tayari
 
Hahahahaaa
 
Ulichokitaka ulikipata mkuu
 
Duuuu jamaa we unamatukio mengine yanachekesha, mengine yanahuzunisha ila pole kwa hili
 
Hahaha ila unapenda kuwashwa washwa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]najuta kupitia huu uzi,sio kwa kucheka huku
 
Hahahahahahahahahahaaa
 
Acha mkwar wako wewe hebu tuambie ulifanya nini
Hahaha! Castr wiki ijayo nina ugomvi naomba upitie mitaa ya Namanga saa 9 mchana ukiona naelemewa na kipondo ingilia mzee baba
 
Kweli tena mzee baba alafu mtu mwenyewe me mwepesi kama karatasi kama atakua na ngumi nzito nzito sijui itakuaje, kama hutaudhuria tamala hilo.
 
Hahahahahahhahaaaaaaa, usicheze na cha moto, sipati picha, Kojo halikutoka?
 
Kweli tena mzee baba alafu mtu mwenyewe me mwepesi kama karatasi kama atakua na ngumi nzito nzito sijui itakuaje, kama hutaudhuria tamala hilo.
Hahaha ningekuja ila siku hizi hayo siyo mambo yangu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…