Kinyamwezi sanaMtego wa Noti- Uvinza, Kigoma.
Nakapnya iko wilaya ya Masasi, na Nanguruwe iko Mtwara vijijiniNilikula lunch Nakapanya Newala halafu nikalala Nanguruwe hapohapo Newala
Mpiga miti-LiwaleMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?