Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
😂😂😂.... Mkuu mbona kawaida tuu....Duuuh hatariiii kumbe watu wanatembea hivii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂.... Mkuu mbona kawaida tuu....Duuuh hatariiii kumbe watu wanatembea hivii
"isanjandugu" Mpanda KataviMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Hatar sana mchamba wima sijui waliwaza nn hili jinaMchamba wima Zanzibar
Machochwe Serengeti
Hatarrrrrr sanaMtombozi-moro hio beseni la machungwa buku
bila shaka unapafahamHatarrrrrr sana
Bila shaka Morogoro hiyoMtakuja haija pakana na magogo
ila ime pakana na Mji mpya,makutule, dakawa.
HaahahaaaaaMsingi mbio Kipo kisarawe
Hapana mkuu sijawahi fikabila shaka unapafaham
Uuuuiiiiiiiii uwe umeshiba kutaja jinaMingile n'ginye njiapanda ya Tosa kwenda Kalenga Iringa
Wapi hiyo mkoa gn mkuu?Mpigamiti
Mtakumbuka-KataviMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Hapo maarufu sana sijui Kuna nn hapoKwa muromboooo
Chuga iyo chuga 🫡
Itakuwa watu walikuwa wanapadharauMtakumbuka-Katavi
Hakuna Kijiji chenye jina hili Kisarawe.... Nitajie ni Kata gani na tarafa ganiMsingi mbio Kipo kisarawe
Huyu anasemea msimbu itakuwa🤣Hakuna Kijiji chenye jina hili Kisarawe.... Nitajie ni Kata gani na tarafa gani
inaitwa Kasura mimba mdauKazuramimba