Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KisengeMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Tunduru
Nakapanya,,namakambale,,mtonya,
Chunya,
Bitimanyanga,, Shoga,, lupa tingatinga,,kambikatoto.
Mfiranyaki
𝑼𝒅𝒐𝒏𝒋𝒂Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Tehetehe, mpaka Makurugusi na Kasenda na Chankende na Buzirayombodaaaaah we jamaa
Hua sikukubali.
ila naona unapajua kachwamba,kasenga,kagondo, kabindi,buhingo,etc
Hata Masasi ipo kwa taarifa yakoNakapanya ipo Tunduru sio masasi, halafu ni nyumbani hapo.
Nakapanya ya Masasi ipo kutotoka wapi kwenda wapi?Hata Masasi ipo kwa taarifa yako
Masasi kwenda NewalaNakapanya ya Masasi ipo kutotoka wapi kwenda wapi?
Tehetehe, mpaka Makurugusi na Kasenda na Chankende na Buzirayombo
Sawa nitakuwa siifahamu, mimi ninayoizungumzia ni moja ya tarafa kubwa ya wilaya ya TunduruMasasi kwenda Newala
Duuuh hatariiii kumbe watu wanatembea hiviiWilaya ya Kalambo hii Mkuu.... Nimewahi kutembelea vijiji hivi kwenye shughuli zangu
IdundilimunyoMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?