Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kigoma hii?Kazuramimba
Duu kweli njiani kwenda Dar sijui kwann paliitwa Ubena zomoziUbena zomozi
Kwa kina mheHivi kuna aliyeitaja Kolomije?
Junction ya Peramiho ukiwa unatokea Mbinga
Nakapanya ipo Tunduru sio masasi, halafu ni nyumbani hapo.Nilikula lunch Nakapanya Masasi halafu nikalala Nanguruwe Mtwara Vijijini
Rais kwenye ziara alikula na Nanguruwe ,aka lala NakapanyaNakapanya ipo Tunduru sio masasi, halafu ni nyumbani hapo.
daaaaah we jamaaIchwankima
Mtakuja haija pakana na magogoDakawa iyo imepakana na magogo