Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

"Mgundu" kipo Iramba, ukiteleza ulimi kidogo unachafua hali ya hewa
 
Panga la Mwingereza - Kisarawe hii...

Mara ya kwanza kusikia hili jina nilistuka sana
 
Vijiji vyote vinamajina ya kipekee
1. Maguru Kenda - Sengerema
2. Kafunzo - Sengerema
3. Katoro - Geita
4. Bulombola - Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…