MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
KinyanyikoMsingi mbio Kipo kisarawe
Sio wasenge, ni Mwasenge.WASENGE kipo SINGIDA.
Mtakuja vipo maeneo mengi. Mi nimeishi kijiji kinaitwa Mpapa.Dakawa iyo imepakana na magogo
Mufindi hiyo mkuu. Wanauza maharage pale Barabarani.Kinengembasi
Hatarrrrrr sana🤣🤣🤣🤣Msingi mbio Kipo kisarawe
Noma sana kutamka tu uwe na glass ya majiMingile n'ginye njiapanda ya Tosa kwenda Kalenga Iringa
MkoA Gani huo mkuu??Mpigamiti