Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Karibu, me Mbeya sijawahi kuiwazia at least Mwanzasoon ntapita arusha nina safari ya ngorongoro....takuja kukusalimia.
Ila mi napapenda mbeya au Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu, me Mbeya sijawahi kuiwazia at least Mwanzasoon ntapita arusha nina safari ya ngorongoro....takuja kukusalimia.
Ila mi napapenda mbeya au Mwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha inafanania na ile ya hazard..ila mshikaji kaipenda naona tangu Jana kaipost kwenye Uzi fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu, me Mbeya sijawahi kuiwazia at least Mwanza
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Au ndi id nyingine ya Hazard CFC 🤔
Iko wapi?Picha inafanania na ile ya hazard..ila mshikaji kaipenda naona tangu Jana kaipost kwenye Uzi fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mchuchu amenitembelea juz weekend akanipikia Hiyo kitu View attachment 1339887
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hii picha kama walikuloga nayo [emoji1787]
Anatuoshea.
Nimeikuta fesibukuAnatuoshea.
Wakati raia wanamfahamu mpishi 😀
@Hazard cfcHapa mchuchu amenitembelea juz weekend akanipikia Hiyo kitu View attachment 1339887
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya uzi wa selfieHii picha hata mimi sio ngeni kwangu.
Hata wew umekoseaYa uzi wa selfie
Huoni nimekutag jamani....Hata wew umekosea
Ni kwenye selfie au ile alompikia bibie?Ya uzi wa selfie
Hawezi achwa mzee baba aliliwa haswa
Hahaha halafu mrembo mwenyew kapotea siku hizi, simwoni jukwaaniHuoni nimekutag jamani....
Ule uzi wako ukimsubiria mrembo wa JF ukampikia!!!
HahahaahahhaHahaha halafu mrembo mwenyew kapotea siku hizi, simwoni jukwaani