Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

hivi mnakula dagaa kwa sababu hamuwezi kununua samaki au ni nini? binafsi sijawahi elewa sababu hasa ya kula dagaa wakati samaki wapo kibao wabaharini na ziwani mpaka mtoni kama kambale …
Nawapenda tu...na samaki ninazopenda ni zile kavu kama vibambara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…