Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Najiuliza hivi ulifikiria nini kuanzisha hii post?
Umeshawahi kujiuliza hv ni kwa nini ukitafuna karanga mbichi unaongeza 'vitamini'?
We ulishajiuliza uhusiano wa pweza na nguvu za kiume?
Nami najiuliza kwanini umemuuliza mtoa mada badala ya kumjibu maswali yake ya kuulizauliza maziwa na mayai.
ushawahi kujiuliza hivi uliwezaje kukaa tumboni mwa mama yako kwa muda wa miezi 9,afu ukazaliwa na wakati ulipokuwa mdogo alikuwa anakutawaza anakuangalia maumbile yako hasa wanaume wakati umetahiriwa!!!!!!
Najiuliza hivi ulifikiria nini kuanzisha hii post?
Nami najiuliza kwa nini huo mchezo unaung'ang'ania, ................... na usiuache kama ulivyoacha Kombolela,kukimbizana na mingineyo!!!??Na hii leo mamako akikuambia hebu niangalie dondo kwenye dudu unakataa huwa najinajiuliza sana kwa nini wazazi wetu walikuwa wanatuchapa tukisex na vitoto vyenzetuulizaga wangetuacha tungeexpiarance mpaka sasa tumgeacha kama tulivyoacha michezo mingine ya kitoto mf. kombolela,kukimbizana na mingineyo huwa najiuliza xana
Hata mimi najiulza ssababu za ww kumpa mwenzio jibu hilo
Najiuliza hivi ulifikiria nini kuanzisha hii post?
Mwisho wa yote ni aliyegundua pilipili sijui alifikiria nini..........