Naomba picha ya mmea wa koka huenda hata Niko na hiyo mimea kwenye bustani yangu na huwa naifyeka bila kujua
Ala! Kumbe ni huu mmea
Yapo ya aina nyingi, hii ndio ya ulevi sasa.Ala! Kumbe ni huu mmea
Kah! Hivi wewe ni mshangazi au jasus la ccm humu ndani, huyo mwamba umemjuaje?Duhh mi nilijua ni Pablo Escobar.. the drug Lord
Sasa nisimjue amekuwa nani? Narcos imenifanya kumjua..Kah! Hivi wewe ni mshangazi au jasus la ccm humu ndani, huyo mwamba umemjuaje?
Hufai kabisa kuwekwa ndani, utaota mkia badala ya mapembe.Sasa nisimjue amekuwa nani? Narcos imenifanya kumjua..
Niwekwe ndani kwa kosa gani hasa?Hufai kabisa kuwekwa ndani, utaota mkia badala ya mapembe.
oy ni copy na paste.mzee huna fact hii umeitoa fb.
Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina hilo?
Labda umewahi kusikia kwamba Coca-Cola wakati mmoja ilikuwa na kiungo cha kusisimua ambacho kiliwafanya wateja kulipenda sana. Hii ni moja ya vilivyochangia jina lake.
"Coca", kwa Kiswahili koka, ni jina la jani la mmea wa koka, moja ya viungo ambavyo mvumbuzi wa kinywaji hicho, mwanakemia wa Atlanta John Stith Pemberton, alichanganya na shira kutengeneza kinywaji chake.
Majani ya koka hutumiwa kutengeneza kokeini.
Wakati huo, mwishoni mwa karne ya 19, ilikuwa kawaida kwa majani ya koka kuchanganywa na divai na kuwa kinywaji cha kuchangamsha mwili
Anadai hufai kuwa mkeNiwekwe ndani kwa kosa gani hasa?
Kwake ni sawa maana ni mtoto na hana uwezo kuoaAnadai hufai kuwa mke
Ni mvulana kumbe, nikajua ni mwanaume tayari!Kwake ni sawa maana ni mtoto na hana uwezo kuoa
Huyo bado sana!Ni mvulana kumbe, nikajua ni mwanaume tayari!
Ndio mzuri huyo kwa kusimamia kuchaHuyo bado sana!