Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hana ata miguu atasimamaje ssNdio mzuri huyo kwa kusimamia kucha
Hana ata miguu atasimamaje ssNdio mzuri huyo kwa kusimamia kucha
Siyo nyuma ya nondo bhana ni kufugwa nyumbani kama nguruwe.Niwekwe ndani kwa kosa gani hasa?
Ni yaleyale we unaona utofauti kwani?Siyo nyuma ya nondo bhana ni kufugwa nyumbani kama nguruwe.
Nilisahau kumbe wewe ni mpinga kuishi kama bata unataka uendelee kulukaluka kama kunguru.Ni yaleyale we unaona utofauti kwani?
ChaiEven Carbon dioxide.... ilikuwa wakemia wawili wakipeana habari za Mtoto aliyezaliwa kwenye Gari na kufa tu walipomtoa nje....shida ioikuwa utamshi was wale wakemia
Car born die outside.
Dahh 😄😄😁🙌Even Carbon dioxide.... ilikuwa wakemia wawili wakipeana habari za Mtoto aliyezaliwa kwenye Gari na kufa tu walipomtoa nje....shida ioikuwa utamshi was wale wakemia
Car born die outside.
Wanigeria waliwahi kufanya utundu wa kutoa cocaine humo wanachanganya na madudu yao ila waliona wanakatika ipo kwa kiwango kidogo sana.NI BORA MBEGE AU TOGWA
AU nasema uongo😂😂😂😂😂😂
Uko sahihi. 😂😂😂😂AU nasema uongo😂
😂 ila pole kwa kutoka CAFUko sahihi. 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 wee jee??😂 ila pole kwa kutoka CAF
Niache😂😂😂😂😂 wee jee??