Umewahi kujiuliza kwanini Coca Cola inaitwa jina hilo?

Even Carbon dioxide.... ilikuwa wakemia wawili wakipeana habari za Mtoto aliyezaliwa kwenye Gari na kufa tu walipomtoa nje....shida ioikuwa utamshi was wale wakemia
Car born die outside.
Dahh πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ™Œ
 
Upo sahihi mazee ndio maana wateja wake wanakua na stimu ya kunywa hivyo vinywaji bila cocaine wangekua wanajivuta sana au kutokunywa kabisa kama ambavyo wanaipotezea juice.
 
Upo sahihi mazee ndio maana wateja wake wanakua na stimu ya kunywa hivyo vinywaji bila cocaine wangekua wanajivuta sana au kutokunywa kabisa kama ambavyo wanaipotezea juice.
NI BORA MBEGE AU TOGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…