Umewahi kujiuliza kwanini Halaand kila mpira anafunga?

Kila mpira? Mechi yao ya mwisho na sevilla alifunga mangapi? Mechi ya man cit vs madrid alifunga ngapi? Hizo ndo mechi za kiume unaweza kumpima
 
Mzee wa kutoa Mashowziii🀣🀣🀣
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niliona sehemu kuhusu hii ishu
 
Hii mbinu ya kivita nilikuwa naitumia enzi zile nikiwa primary school. Nilikuwa sipendi somo la Hisabati, kwasababu Mwalimu wa somo hilo alikuwa mzinguaji sana.

Sasa nikishajua muda wa Hisabati umekaribia naachia kitu na box kimya kimya, tena karibu na mlango wa darasa ili Mwalimu akifika mlangoni akutane na kitu heavyweight πŸ’¨ . Kusema kweli Mwalimu alikuwa anaishia mlangoni kila mara, na kilichokuwa kikifuata hapo ni kipigo kwa darasa zima (maana wanafunzi wenzangu walikuwa wanaogopa kunitaja, so walibeba adhabu yangu kijinga sana).
 
Kama uliwahi cheza mpira hivi ukiwaunacheza mpira hata nguvu za kujamba za kujamba unatoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…