Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Kwamba mgonjwa anasingizia hakupewa maji kwa wakati?Siku nyingine nenda kabisa na maji ili mgonjwa akose cha kusingizia
Anataka afe mbele ya mtu wa watu kwa kisingizio cha kuomba maji, sasa ili akose kisingizio Inabidi Kila ukienda unaenda na majiKwamba mgonjwa anasingizia hakupewa maji kwa wakati?
Hata hivyo ni siri ya wawili..akifa itabaki siri😁Anataka afe mbele ya mtu wa watu kwa kisingizio cha kuomba maji, sasa ili akose kisingizio Inabidi Kila ukienda unaenda na maji