safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Binafsi nimewahi kukutana na majibu ya ajabu akijibiwa mtu na mengine nikijibiwa mimi.
Leo naomba tushee pamoja baadhi ya hayo na wewe utashea pamoja hapo chini.
Kuna siku nilipata kuona sehemu fiulani kwenye foleni jamaa aliibia foleni kwenda mbele basi wadau wakaja juu aaah si ungewahi tokea jana we jamaa,jamaa akawajibu "hapa ndo nawahi kwa ajili ya kesho.