Aisee maneno makali Sana hayoUnanijua mi ni nani
Wakiitwa wanaume na wewe utaenda, Dume suruali
Unajifanya unawahi, si ungekuja tangu jana
Unajifanya unajuaa utasema wewe ndio peke yako msomi
Siongei na Mbwa, naongea na mwenye mbwa
Huduma sitoi na hunifanyi kitu chochote, kashtaki popote
Kwani umelazimishwa kuja hapa, shida zako si ndio zimekuleta
Pambana na hali yako, mi hainihusu
We jamaa[emoji23][emoji23]Siku moja maza alikua anajikosha mbele ya wageni akanambia"mbona una roho ya kishetani hivo" Nilikaa tu kimya na yeye alijua nimechukizwa sana na kauli yake ile ikapita moment of silence kila mtu anamtazama kwa maneno yake yale mazito, kiukweli kama kama sio nguvu ya roho nilkua namjibu "kmmake"
Ndio tunaishi na raia wanaotujibu hivyoAisee maneno makali Sana hayo
Kazi ya kutawaza mbwa sifanyi, dah hua nikifikiriaga hii basi tu.Binafsi nimewahi kukutana na majibu ya ajabu akijibiwa mtu na mengine nikijibiwa mimi.
Leo naomba tushee pamoja baadhi ya hayo na wewe utashea pamoja hapo chini.
Kuna siku nilipata kuona sehemu fiulani kwenye foleni jamaa aliibia foleni kwenda mbele basi wadau wakaja juu aaah si ungewahi tokea jana we jamaa,jamaa akawajibu "hapa ndo nawahi kwa ajili ya kesho.