Umewahi kukutana na Mchina mwenye ndevu?

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
989
Reaction score
1,843
Leo nimekaa sehemu nikaona kundi la wachina, nikajiuliza hivi hawa jamaa huwa hawaoti ndevu au wananyoa kilasiku.

Ni utaratibu wao wa kiasili kukaa bila ndevu au hawapendi tu, maana binafsi sijawahi kukutana hata mara moja na mchina mwenye Uchebe.
 
Hahaah.......mkuu nafanya nao kazi almost kila siku.
Naomna nikiri kwanza sijawahi kuwa makini na hilo lakini pia sijawahi kuona Mchina mwwnye ndevu😆😆😆
 
Wewe umeshawahi kukutana naye live?
 
Wanazo kidogo,naona hawazipend wanazinyoa kila mara
 
Ila kwa Mujibu wa mujibu wa akili mnemba wanasema ni sababu za kijenetiki, kiutamadanu na kihistoria.. kwa Hiyo yote yamo.

The perception that Chinese people generally don't have beards can be attributed to a combination of cultural, genetic, and historical factors.

Genetics: East Asian populations, including many Chinese, tend to have less facial hair due to genetic differences compared to populations from other regions.

Cultural Practices: Traditionally, in many East Asian cultures, facial hair was often seen as unkempt or undesirable. This cultural preference influenced grooming practices, with many men choosing to remain clean-shaven.

Historical Influence: In various periods of Chinese history, especially during the Ming and Qing dynasties, certain styles and grooming standards were promoted that emphasized clean-shaven faces.
 
Hizo zinaweza kuwa sababu za kweli, hata wajapani wana utamaduni wa kutokuoga asubuhi kwa sababu hizo hizo
 
Leo nimekaa sehemu nikaona kundi la wachina, nikajiuliza hivi hawa jamaa huwa hawaoti ndevu au wananyoa kilasiku.

Ni utaratibu wao wa kiasili kukaa bila ndevu au hawapendi tu, maana binafsi sijawahi kukutana hata mara moja na mchina mwenye Uchebe.
Tuwakague huenda tulionao ni females
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…