kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
- #21
Hizo za bandia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo za bandia tu
Leo leo nikikutana nao nawauliza😆😆Siku uwaulize kwanini hawataki ndevu
Mimi sijawahi kuona hata mmojaWapo wengi, ila majority hawafugi ndevu
Kote mbali huko ungeuliza tu umewahi kutana na masai mwenye ndevu?Leo nimekaa sehemu nikaona kundi la wachina, nikajiuliza hivi hawa jamaa huwa hawaoti ndevu au wananyoa kilasiku.
Ni utaratibu wao wa kiasili kukaa bila ndevu au hawapendi tu, maana binafsi sijawahi kukutana hata mara moja na mchina mwenye Uchebe.
Nadhani sababu kubwa yaweza ya kitamaduniwamasai je
hawana ndevu wala besi
Albino wapo wana ndevuJe Masai Albino?
Nani Alishawahi kuwaona?
Au kiziwi, kipofu, kiwete au bubuJe Masai Albino?
Nani Alishawahi kuwaona?
Wamasai wapo, niliwahi kuona baadhi lakini sio wale wanaovaa mashukaKote mbali huko ungeuliza tu umewahi kutana na masai mwenye ndevu?
Wanatupa tabu kutofautishaTuwakague huenda tulionao ni females
Waulize tujue sababuLeo leo nikikutana nao nawauliza😆😆
Wachina wa style hiyo hawapo bongo, Mimi sijawahi kuona mchina akiwa na muonekano huo
Kwanini wananyoa zote?Wananyoa wengi wao
Sijui kwaniniKwanini wananyoa zote?
Siku ukibahatika kuongea na mmoja muulizeSijui kwanini