Habari wakuu,
Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.
Hahaha
Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.
Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari wakuu,
Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.
Hahaha
Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.
Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
Mnapoanza kula chakula kipi, vyakula ni vingi ujue😀😀 vumilia baba kija yatapitaHabari wakuu,
Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.
Hahaha
Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.
Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini hakukwambia mapema lakini!?"mtoto anataka vitumbua....."
Nipo town napita Kila mgahawa natafuta vitumbua muda huu [emoji20]
Hizo heka heka hua hazipo kwa mahouse girl wala wanafunzi
Hahaaaaa nimecheka sana asubuhi hii.Mm ananambia nichuchumae ninapoongea naye, nikisimama namkera
Wanajifanyisha hao. Mimi baba nina mke na watoto 4 ila katika mimba zote mke wangu hajawahi fanya vituko vya kipuuzi kama hivyo. Wa namna hiyo huona waume zao mazezeta ndio huwafanyia huo upuuzi.afu kweli sijui kwa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Mh ni majanga ,wangu hataki kunipa kitumbua,napata kwa tabu sana ati anajiskia vibaya,week ya 19 sasa .Habari wakuu,