Umewahi kukutana na Tabia Gani za kushangaza kwa Mama Watoto wako alipokuwa Mjamzito?

Umewahi kukutana na Tabia Gani za kushangaza kwa Mama Watoto wako alipokuwa Mjamzito?

Kuna mambo mengine wanafanya kwa kigezo cha mimba tu lakin si kwamba mimba inamfanya awe hvyo.

Wanafanya kwa kufuata kwa mkumbo wengne wanafanya makusudi tu kwa kukomoa usipo jitambua atakupelekesha mpaka basi.

Kuna matendo mengine huwa matendo yanayosababishwa Na mimba Na matendo mengine ni unafki tu Wa wenye mimba
Ni Kweli kabisa kuumwa kichefuchefu kutapits kukakataa baadhi ya vyakula ni kweli ni mimba inaweza sababisha sio et ukae na boxer hapo mmh
 
Habari wakuu,

Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.

Hahaha

Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.

Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
Anakuona bwege na wee unavua 😀😀😀aisee hata kibailojia hakuna mabadiliko ya ovyo kias hiko
Mbona hiz zisizo na baba hazina mambo hayo ni kujiendekeza Kuna makabila wanazaa had watoto 9 sijawah sikia wanawaambia Waumezao wakae na boxer😂😂
 
Kuna mafuta yanauzwa 50k wanapaka tumboni na mgongoni ili ngozi ikae vzr na ujauzito ilikua ndio kazi yangu kila asub kumpaka ...na kumnyoa chini.
 
Huyu mwanamke nataka nimpeleke kwao
Siyo kwa kunyanyaswa huku mimba gani hii hatak utoke nje hataki ukae naye mbali anataka nimpikie Mimi tu hataki apike mwingine nimechoka
😂😂😂Siku mwambie unasafir siku Tatu uone km utamkuta amefariki atapika na atakula sema wako anadeka hata mm nitadeka 😀ilawengine wanazidisha
 
Habari wakuu,

Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.

Hahaha

Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.

Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
Subiri akutemee na mate.
 
Wanawake wanachagua wakudekea, huo ujinga sifanyi na hakikisha naleta kila kitu, ni kikupeleka hospitali huna malaria au ungonjwa mgine unao kusumbua ni mimba tu, hapo utajijua mwenyewe, upike husipiki ni wewe tu..........mimi ntakula nakojua
 
Me huwa naambiwa nilete Pikipiki karibu yake, halafu nipige 'Resi' za kutosha anuse ile harufu ya Moshi
 
Bora wewe kuna jamaa anaambiwa ananuka!
Habari wakuu,

Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.

Hahaha

Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.

Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
 
Anakuona bwege na wee unavua [emoji3][emoji3][emoji3]aisee hata kibailojia hakuna mabadiliko ya ovyo kias hiko
Mbona hiz zisizo na baba hazina mambo hayo ni kujiendekeza Kuna makabila wanazaa had watoto 9 sijawah sikia wanawaambia Waumezao wakae na chupi [emoji23][emoji23]
Dah! Uwe na staha dada yangu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunatumia boxer sio hilo neno[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku mwambie unasafir siku Tatu uone km utamkuta amefariki atapika na atakula sema wako anadeka hata mm nitadeka [emoji3]ilawengine wanazidisha
Mfundishane huko kudeka na huyo mwenzio kama hamtaniona mpaka miezi 9 akiwa labor[emoji23][emoji23][emoji23]. Huo upuuzi sio kwangu aisee
 
Mfundishane huko kudeka na huyo mwenzio kama hamtaniona mpaka miezi 9 akiwa labor[emoji23][emoji23][emoji23]. Huo upuuzi sio kwangu aisee
Tena nyie ndo hamdanganyi kizembe😀😀😀
Ila we mdekeze tu mdogowangu Jamani anenepe😀
 
Back
Top Bottom