Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

😄, Huyo alikuwa kilaza kupita kiasi + plus uvivu ambao alikuwa nao, Ndo maana masomo yalimpeleka mputa mputa
 
😀, walikuwepo mkuu, ila Asilimia kubwa wamekuwa walimu wa secondary,
 
Yuko wapi Kwa sasa?ukute mwalimu.... mtoto hatakiwi kuwa genius hapa Africa,
 
"Alijifanya kama mcha Mungu na aliheshimiwa na kila mtu."

Mbona mwanzo umetuambia alikuwa haendi kanisani wala msikitini?
Kujifanya mchamungu maana yake ni kuigiza kama mchamungu, hujui maana ya kuigiza?
 
Africa bwana sijui nani katuroga
Halafu wonderful enough,

Kulikuwa na jamaa yeye anasoma arts akawa anasema mm nataka kuwa mwalimu watu wakawa wanacheka hatumuelewi anachoongea.

Alisomea kiswahili, kingereza na kifaransa. sasahiv ni mwalimu wale wa mitandao anapata wazungu wanaotaka kufundishwa lugha ya kiswahili.

Ana jenga kigamboni.tena darasani alikuwa hata aeleweki.
 
Yaani Africa inabidi uwe na akili simpleeee ila ujanja mwingi unatoboa nakwambia!
 
Kwa level ya ordinary, huyo ni mie kabisaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…