BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
kibofuuuuuu 🤣🤣🤣Kibofu au kibovu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibofuuuuuu 🤣🤣🤣Kibofu au kibovu?
Kibofu n kibofukibofuuuuuu 🤣🤣🤣
😄, Huyo alikuwa kilaza kupita kiasi + plus uvivu ambao alikuwa nao, Ndo maana masomo yalimpeleka mputa mputaPale SUA 2008 kulikuwa na jamaa mmoja toka Tabora tulimuita Kenge tokana na macho yake.
Jamaa alikuwa anachagua Course zote elective hii ilimsaidia kwani alikuwa ana SUP hadi 7 kwa mwaka mmoja. Jamaa alikiwa ni slow learner.
Wakati wa probation tulikuwa tunaenda wiki 1 au 2 kabla ya kuanza SUP, yeye tunamuona anatusalimia akiwa kwenye treni pale Relini Dark City anakuja jioni na kesho ni Sup. Kesho asubuhi utamuona pale freedom square anakuja kupiga Pepa ila hajui na anauliza leo ni mtihani gani? Kuna siku hadi tumeanza paper jamaa hajafika ile tunamaliza tunaona kumbe naye alikuwepo akipiga Sup zake.
Jamaa hakugraduate nasi tokana na vimeo na aligraduate mwaka unaofuata mbele yetu, sasa yupo pale Tabora Manispaa.
😀, walikuwepo mkuu, ila Asilimia kubwa wamekuwa walimu wa secondary,Forecasting?😂
Mkuu ulishawahi kutana na wale watu anajitamba na huwezi mzidi, namfananisha na mayweather anakutambia na anAkuponda.
Huyu ni sababu anajua darasani nani anakuwaga wa kwanza mpaka wa10. Ila watu wengi walikuwa wanamchukia, na yeye anakuambia huwezi badilisha chochote nitakuongoza tu.
Alikuwa na akili sana, hujawahi somaga na wale watu mwalimu anampa nafasi afundishe wenzake?
🤣🤣🤣🤣NimechekaKipindi nipo mdogo kuna housegirl nililetewa alikua anajikojolea halafu ananisingizia mimi.
Yuko wapi Kwa sasa?ukute mwalimu.... mtoto hatakiwi kuwa genius hapa Africa,Mimi nilisoma na jamaa wiki mbili kabla ya mtihani yeye Alikuwa hasomi kabisa, alikuwa anachukua vitabu vya sayansi na sisi tulikuwa uchumi, zilikuwa zikikaribia kama siku 5 kabla ya mtihani akija prepo anakuja na chaki.
Anaandika first eleven, yaani wa kwanz mpaka wa 11 kwenye matokeo alikuwa anasema hivi daaah mtihani huu kuna mtu namuona ananipania sana ngoja nimuonyeshe uwezo, anaanza kuandika golini nakaa mwenyewe namba moja namba mbili nampa mtu fulani. Mpaka wa 11.
Matokeo yakitoka alikuwa anakosea kuanzia namba 6 kushuka chini ila watu ni wale wale🤣🤣🙌🏻.
Hajawahi pata nafasi ya 3 yeye ni mbili au moja na anasema hakuna wakunipita humu.
Kwao kazaliwa peke yake na mama bado young sana.
Kujifanya mchamungu maana yake ni kuigiza kama mchamungu, hujui maana ya kuigiza?"Alijifanya kama mcha Mungu na aliheshimiwa na kila mtu."
Mbona mwanzo umetuambia alikuwa haendi kanisani wala msikitini?
Yupo tu anapambana na biashara zake ila hivyo hivyo kuunga unga.Yuko wapi Kwa sasa?ukute mwalimu.... mtoto hatakiwi kuwa genius hapa Africa,
Africa bwana sijui nani katurogaYupo tu anapambana na biashara zake ila hivyo hivyo kuunga unga.
Halafu wonderful enough,Africa bwana sijui nani katuroga
Yaani Africa inabidi uwe na akili simpleeee ila ujanja mwingi unatoboa nakwambia!Halafu wonderful enough,
Kulikuwa na jamaa yeye anasoma arts akawa anasema mm nataka kuwa mwalimu watu wakawa wanacheka hatumuelewi anachoongea.
Alisomea kiswahili, kingereza na kifaransa. sasahiv ni mwalimu wale wa mitandao anapata wazungu wanaotaka kufundishwa lugha ya kiswahili.
Ana jenga kigamboni.tena darasani alikuwa hata aeleweki.
🤣🤣Eeeeh sasa Mtu Gani wa namna hiyo.....kanifikirisha sana ujue😄, Au ndo maana alikuwa hataki kuongea na binadam wa kawaida
Uwongo tu, story za kujitia Moyo😁😁😁Alafu mtu anakuja kusimulia binadam wa kwanza alipatikana Africa 😀