Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣🤣Karudi kwao MarsHata sisi tulishangaa sana, na mpaka leo hajulikani alipo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Karudi kwao MarsHata sisi tulishangaa sana, na mpaka leo hajulikani alipo,
Basi tyuuh ilitokea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1], mkuu, Kwa nini ulikuwa unafanya hivyo,
Kipara ni cha mchongo.Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani.
Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu aliyejua sehemu alipokuwa akiishi, hakuna mtu aliyejua chochote kuhusu huyu mtu isipokuwa jina lake. Tukiwa darasani alikuwa hajibu maswali ila mitihani alikuwa anapata alama za juu sana.
Alikuwa kwenye group la whatsapp la chuo na hakuwahi ku-comment chochote na siku tulipomaliza chuo alileft Group, Alikuwa haendi Kanisani/msikitini na wala hakujihushisha na dini yoyote. Tangu ile siku ya mtihani wetu wa mwisho, hakuna mtu aliyemwona au kusikia Alipo.
Alikuwa hazungumzi kamwe labda tuaze sisi kuzungumza naye, na mda mwingine anaweza kukupuuza. Kama kutakuwa na tukio fulani maeneo ya chuo mara nyingi alichangia mchango kuazia Tsh. 40,000 na zaidi, na alipenda kutumia jina la mtu asiyejulikana, hata akichangia hakuwahi kuhudhuria sherehe/tukio hilo.
Wasichana katika darasa letu walimchukia sana , kwa sababu hawakuweza kuwa naye kwa namna yeyote ile.
Wengi wetu tuliamini kuwa yeye ni Afisa Usalama anayefanya kazi katika serikali ya Tanzania ambaye lengo lake labda lilikuwa ni kufuatilia usimamizi wa chuo. Alijifanya kama mcha Mungu na aliheshimiwa na kila mtu.
"Obidux Baljidanz" alikuwa mtu asiyejulikana.
Je, ni watu gani wenye mambo ya ajabu, ambao umekutana nao?
Sasa hiv niko social balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] Sawa mkuu, Sasa hivi usifanye hivyo tena,
Au alikuwepo chuo kuzuga tu sio kusoma[emoji1], Huyo alikuwa kilaza kupita kiasi + plus uvivu ambao alikuwa nao, Ndo maana masomo yalimpeleka mputa mputa
Kiangalie vizuri utagundua jinsi kilivyotengenezwa,kimechongwa kabisa.Kwa nini mkuu,
mkulungwa👊👊 heri ya mwaka mpyamzee baba fundi bishoo
anatikisa aisee hatariiiDa! Noma sana ile video nimeirudia mara mbili tu kuiangalia🤦😆🤣
Kabisa
Ww kuwa shoga na kukubali tena kwenye jamii ya africa .tayari wewe sio wa kawaida.naamini inbox yako wanakuomba sanaKwa level ya ordinary, huyo ni mie kabisaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]