Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Mmh! Seriously?Wanajamvi! Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
Astakafiru[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilishawahi kulia kijiko,nilikula na wali.
Mi mwanaume aliwahi nisuta mbele ya kadamnasi nililia sana alinisema ya nguoni na umbo langu naakanisema sana.Wanajamvi! Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
Mwenyewe..😎Astakafiru[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Sasa ndo ukalia na Kama umbo ni baya ulivyolia ndo ukazidisha kabisa!Mi mwanaume aliwahi nisuta mbele ya kadamnasi nililia sana alinisema ya nguoni na umbo langu naakanisema sana.
Mi mwanaume aliwahi nisuta mbele ya kadamnasi nililia sana alinisema ya nguoni na umbo langu naakanisema sana.Wanajamvi! Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
Wala nilikuwa mwembamba kipindi huo .🤣🤣🤣 Sasa ndo ukalia na Kama umbo ni baya ulivyolia ndo ukazidisha kabisa!
Mpe nafasi tenaMi mwanaume aliwahi nisuta mbele ya kadamnasi nililia sana alinisema ya nguoni na umbo langu naakanisema sana.
Wala nilikuwa mwembamba kipindi huo .
Ila sasa hivi ananitamani tako tako chuchu dodo jicho kungu nywele mpaka mgongoni kuna usemi usemao usiache mbachao kwa msala upitao
Mabaharia hatutakagi kesi kama izi kidume unaliaje kwa mfanoWanajamvi! Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
Akuuu saivi nashepu no kinuka mikojoiMpe nafasi tena
🤣🤣Akuuu saivi nashepu no kinuka mikojoi