Umewahi kulia kisa kusemwa na mkeo/mpenzio?

Umewahi kulia kisa kusemwa na mkeo/mpenzio?

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,269
Wanajamvi!

Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?

images

Hizi post za wala urojo zinachekesha 😂😂.

Yaani wewe ni kichwa cha familia alafu uanze kutoa machozi, duuh.

Kumbuka wewe ndio wakuilinda familia yako mkuu, wewe ndio nguzo yao na tegemeo lao, hata jambazi akiingia ndani wewe ndio uwe mtata hapo sio kujificha nyuma yao.

Mwanaume halii mbele ya mke wake mkuu, ni udhaifu, acha umama.
 
Mimi kilio ninachokijua ni kile aliacho mwanamke baada ya kunogewa na mgegedo.

Mwanaume unalia ili iweje?
 
Mimi nilishawahi kulia kijiko,nilikula na wali.
 
Mi mwanaume aliwahi nisuta mbele ya kadamnasi nililia sana alinisema ya nguoni na umbo langu naakanisema sana.
🤣🤣🤣 Sasa ndo ukalia na Kama umbo ni baya ulivyolia ndo ukazidisha kabisa!
 
Wanajamvi! Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
Mi mwanaume aliwahi nisuta mbele ya kadamnasi nililia sana alinisema ya nguoni na umbo langu naakanisema sana.
🤣🤣🤣 Sasa ndo ukalia na Kama umbo ni baya ulivyolia ndo ukazidisha kabisa!
Wala nilikuwa mwembamba kipindi huo .
Ila sasa hivi ananitamani tako tako chuchu dodo jicho kungu nywele mpaka mgongoni kuna usemi usemao usiache mbachao kwa msala upitao
 
Mi mwanaume aliwahi nisuta mbele ya kadamnasi nililia sana alinisema ya nguoni na umbo langu naakanisema sana.
Wala nilikuwa mwembamba kipindi huo .
Ila sasa hivi ananitamani tako tako chuchu dodo jicho kungu nywele mpaka mgongoni kuna usemi usemao usiache mbachao kwa msala upitao
Mpe nafasi tena
 
Kuna mzee mmoja alikuwa anasema falsafa yake ni kwamba mwanamme ni kichwa cha familia.

Kichwa ndio kina macho, mdomo, pua na masikio.

Kwa hiyo ni mwiko mke wako kukusema, kusikia ya watu/mtaani au kuona chochote bila ya ruhusa ...halafu wewe unaongelea kulia tena ?🤣
 
Back
Top Bottom