Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma.

Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa hawajuani, kama ni ndio toa ushuhuda wako.
 
Hivi ile ishu ya dereva kumsaidia ombaomba barabarani mkono ukaota manyoya ni kweli?
 
Back
Top Bottom