Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma.
Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa hawajuani, kama ni ndio toa ushuhuda wako.