Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Asante.
 
Usifanye utani chief, hii kitu inauma sana, mke msaliti hashindwi kukuua.
Mimi nilivyogundua mke wangu kanisaliti wala sikupigizana naya makelele manaake ningeua nilichofanya nilibeba bag langu la nguo tu .nikarudi nyumbani kwetu kuanza maisha mengine...nilimwachia kila kitu..kusalitiwa inauma hatari yaani unajiona wewe ni boyaa no 1 duniani
 
Mwenzako alifanyiwa hili baada ya kumsaliti mume wake,huyo mume wako amekurumia sana,yaani hata hajakufanya chochote? Anakupenda sana! Angalizo,siku ukijichanganya Tena,umekwenda na maji. Wanaume tuko tayari kuliwa pesa,ila sio kuliwa mke!
 
Ungemfukuza na sio kumuachia kila kitu, hapo ndo kakuona boya zaidi.
Mimi siwazi marambili ni kufukuza yeye na watoto na singetaka kusikia habari za watoto kwenye masikio yangu.
 
Wewe ni mtu wa nne unaniambia hivyo.
Ila ni ngumu
 
Mimi nafanya kazi kwenye ofisi X,yaani wake za watu wanaliwa Hadi huruma makazini aise!
 
Maskini huyo mumeo hakujua kuwa kunguru hafugiki? Msaada ninaoweza kukupa ni kukkushauri uende ukajiuze mtaani lau ujulikane ulivyo.
 
Wanawake mna roho mbaya,yy kakosea,kaomba ushauri,unamwita Malaya!
Alikuwa malaya ndio.
Ila Kwa kuwa ametambua kosa lake , sio malaya tena sema aisee kumrudisha mumewe tena ni ngumu, hapo Kwa Sasa afocus na kulea tu watoto basi.
 
Imeniuma hii story kama mtoto wa kiume daaah😓😓😓😓.
Ungejitahidi asijue. Inauma kichiziiiiiii.
Maji yashamwagika 3 years bado haelewi.
Kaanze maisha yako mama. Katulie, jitulize, niamini ukiwa na utulivu atakurudia.
Ipo siku jamaa atambadilikia tu,yaani ss wanaume tukisalitiwa,tunaumia mpaka bila kikomo
 
Mwanamke hata umpe nn hariziki,niliishi na mke wangu kwa upendo Sana na sikuwahi kucheat hata cku moja ila nilikuja kuelewa kwamba sio mwanifu kwangu nikaona isiwe tabu.tuliachana km masihara vile maana nilipata maumivu makali sana nikaona nikiendelea kuishi nae kuna siku nitafanya mambo mabaya Sana hadi jamii ingenishangaa.
 
Kula chuma hicho.




Kiufupi Hapo Things will never be the same again. Yaani Watu wamesema huko Juu umeyakanyaga.

Hii Inanikumbusha kisa kimoja kinachoendana na Chako. Hii ilimpata Mwanaume ila Tukahisi na kuhitimisha kwa upande wa mwanamke ilikua kama Ulivyosema hapo juu. Huenda ni wewe.


Kuna Mwamba Mmoja alikua Muaminifu sana kwa mke wake. Akitoka Kazini ni Straight home, Hana makandokando yaqni Vijana wa mjini wanasema Mwamba hakua na mbambamba. Kama ikimbidi juwa nje ni kwa sababu Maalumu sana Labda anaangalia mpira na jamaa zake na Ikifika saa 12 jioni hata kama Mpira haujaisha atawatotoka kurudi nyumbani kwa mkewe.

Huyo mkewe alikua akifanya Kazi sehemu ya mbali na walipokua wakiishi hivyo alikua anakuka siku za Wikendi tu ama akiwa na Likizo.

Maisha yakaenda hivyo miaka na miaka. Mwamba alikua anashangaa sana wanaume wenzake wanawezaje kuchepuka na bado wakarudi nyumbani kwa wake zao as if nothing happened! Mwamba akageuka mtoa Nasaha kama Mama Terry kwamba Wanaume tuwapende wake zetu, unachokitafuta nje ndani umekiacha, nje unachepuka kwa mashaka na unafuja pesa, ukirudi nyumbani Unakula halafu unamla na mpishi pia kwa raha zako. Akaenda mbali na kusema hakuna siku atakayomsaliti mkewe. Wanaume tukawa tunaitikia Tawire baba.

Ikatokea siku tupo mtaani stori mbili tatu mara akapita dada mmoja wa haja kiasi cha Kugeuza macho ya wanaume wote wenye minara imara. Mwamba isivyotegemewa akaenda kuomba namba na mengineyo.

Fast Forward, walianzisha mahusiano na ikawa ni Utaratibu kila wikendi lazima wakutane sehemu kulila lile tunda tamutamu.

Kamati Ikakaa kujadili, What happened to Mwamba?? It's Unlikely of him to behave in such a manner. He, who used to condemn adultery and sorts of uchepukaji ameenda kuwa niaje?? No way kuna kitu hakipo sawa sehemu.

Ikawa Miezi ya Uchepukaji, Kiutani utani mwaka ukafika mara miaka. Muda wote huo Kamati inahoji WHY Mwamba awe hivi! What went Wrong?! Mwamba akiulizwa anajibu Haya maisha ni yake na sisi tushughulike na yetu. Zaidi ya Yote We only Live Once, wacha avinje mifupa wakati meno bado iko.

Siku Tunashtukia mke wa Mwamba yupo tu nyumbani. Kumbe tangu Mwamba ameanza michakato yake ya Uchepukaji kama miezi miwili mbele mke aliacha kazi katika mazingira ya kutatanisha. Mke alikua mtumishi wa serikali. Na walikua na mtoto tayari.

Tangu wakati huo mke ni mama wa nyumbani na Mwamba akiulizwa hana majibu yanayoeleweka, Sasa anakaa nje (mwamba) mpaka usiku na wala hajali tena kuwahi kurudi nyumbani. Mwamba amekua team mla kiMasikhara. Anachakata mbususu mno.


Inaonesha kuwa Mwamba alipigwa na Kitu kizito ambapo mke aliliwa huko mazingira ya kazini na Mwamba akajua. Ili Kuinusuru Ndoa mke akaamua kuacha Kazi. Na Mwamba mpaka Leo hii hajarudi kuwa kama zamani. Uchakataji wake ni wa kasi sana anawashinda mpaka wale aliokuwa anawapa mawaidha.
 
Akufume mara moja tu ndo atake kukuacha mazima?..

Hii story lazma kuna sehemu tumepangwa.

Ngoja tusubiri kusikia upande wa pili.
 
Kutomb*wa kunauma aise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…