Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kama huyu mwenye Uzi ni Mpuuzi mmoja....Yaani Hana hata haruma kalowalowa tu kizembe🤣🤣🤣🤣
Ni mkasa wa kusikitika.
Inashangaza zama hizi ngono inatokea kama ajali...poor me
 
Tuamini maneno yake lkn tuhukumu matokeo.
Yaani hata hakubisha kufungua sketi?
Huyo kataka kufanya hivyo bwana....angekuwa bahati mbaya angejisikia guilty Sana angeondoka soon baada ya tukio,yeye kaendelea kukaa mpaka saa mbili usiku,,,kapigwa 3
 
Huyo kataka kufanya hivyo bwana....angekuwa bahati mbaya angejisikia guilty Sana angeondoka soon baada ya tukio,yeye kaendelea kukaa mpaka saa mbili usiku,,,kapigwa 3
Bibie inaonyesha alikuwa na hisia sana, baafa ya tendo alilala ukimsoma vizuri.
 
Ukisaliti tukajua, wanaume hatusamehi wala kusahau. Hiyo ni dosari ya mpaka kifo.

Mambo aliyokuwa anakufanyia zamani hayo sahau . Hawezi kutoka out na wewe wakati anafahamu kuna mwanaume amekukula na anaweza kukula wakati wowote. Anahisi atadharauliwa akiwa na wewe. Kiufupi hajivunii wewe kama mke wake kwa sasa. Hivyo mwache kwa wakati wake akijisikia atafanya linalowezakana. Hata ukimwambia unampenda anakuona muongo au mwizi fulani.
 
Mama ushajichanganya. Kwanini kama ulikua kweli una dhamira njema toka mwanzo usimwambie mumeo kuwa kuna kenge anakusumbua?
Itoshe kusema wewe kilaza.

Ila mumeo naye faken huyo jamaa yako ilitakiwa aliwe rinda. Ushaambiwa mtu ameolewa bado unataka kuchapa. Mimi na umalaya wangu naheshimu mke wa mtu maana si uungwana.

Mimi ingekua mumeo ningekusamehe ila majuto yangekua kitandani msamaha wangu ungekua kuwazagamua wote na huyo karumekenge ndiyo msamaha ungepita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…