Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Unataka afurah kweny tendo wapiii? Wkt akikuvua anawaza jinsi jamaa nae alivokua anakuvua, akikushik anamfikiria jamaa jinsi alivokua anakushika, akikuchomeka na ww ukaguna anawaza jinsi jamaa alivokuchomeka na ukawa unatoa miguno,
AH wap, ww alitakiwa akuache mazima.

Wanawake hamridhiki, mnajitombesha wenyew kwa tamaa zenu najua ulifkr jamaa baada ya kukutomba angekupa hela.
 
Ni Yesu Kristo pekee awezaye kuiponya ndoa yako. Nje ya hapo utaishi kwa majuto maisha yako yote
 
Mwanamke kuliwa kwenye ndoa huuma sana, mwanamke ni ua, mwanamke ni fulu mautamu, tunawatunza na kuwarembesha ili tuwapende, huyo mumeo kila siku anajiuliza maswali mengi, jameni unakaa ukiwaza limwanaume lingine huko na mijasho yake liligegeda mke wangu na labda lilikua na dushe kubwa zaidi ya kibamia changu.
Hapo acha kuhangaika, ingia kwenye maombi maana wewe kama wewe hautaweza kumbadilisha, ni Mungu tu.
 
Africa inapata matatizo mengi sana kupitia ndoa kikubwa kataa ndoa ndoa ni jeneza muda wowote linakuchukua
 
Huyo kataka kufanya hivyo bwana....angekuwa bahati mbaya angejisikia guilty Sana angeondoka soon baada ya tukio,yeye kaendelea kukaa mpaka saa mbili usiku,,,kapigwa 3
Masaa yote hao 3 tu..huyu nahisi alipigwa Tano!
 
Mawazo yako kama wewe ni mwanaume basi fikiri tens,yaani Mimi mwanamme nianze kusumbuka na mgoni wangu badala ya mke wangu aliyekubali kuliwa.?

We wawapi ,eee wewe wawapi!?
 
Kwa hiyo yeye kucheat hajamuonea huyo jamaa?

Kichwani umejaza ugoro wEwE
Amemuonea sana, demu akicheat atakula adhabu kali sana.
Demu kama huyu atanipa blow j za kutosha.
 
Wether vinaendana au Ndo ye mwenyewe
 
Kama huyu mwenye Uzi ni Mpuuzi mmoja....Yaani Hana hata haruma kalowalowa tu kizembe🤣🤣🤣🤣
Mleta mada statues ni mtu wa kijiji cha katerero maana sio kwa kulowana huko.
 
Kwani mwanamke kalazimishwa kubaki?si kataka mwenyewe kubaki angeweza kuondoka na akaendelea na KAZI yake pia lakini SEMA mdada Ndo kataka kubaki ameuza mwenyewe furaha yake bidada
Hajalazimishwa kubaki anaweza ondoka na KAZI aliacha mwenyewe Ili kulinda Ndoa(kitu mi naona ujinga kabisa na mistake)
Kwa Sasa kuondoka sidhani maana Hana maisha Tena
 
Ila tukubali tu jamaa sasa hivi hampendi na akiamua kumletea demu mwingine akamtafuna mbele yake anaweza.

Ujue huyu dada alishindwa kujua haki yake kwani nini aache kazi na kazi ni kipimo cha maisha.
 

Kubali matokeo. Uliyakoroga mwenyewe inabidi uyanywe.

Hutaweza kumrudisha jamaa katika hali ya zamani. Sahau!
 
Hiyo ndio imekwisha hivyo, hakuna tena ndoa hapo, wewe jua tu ndoa ndio imekufa kilichobakia ni kuzikwa tu. Hata itokee miujiza gani, huyo mume hatarudi tena kuwa kama hapo awali. Unaposikia ndoa za watu zimevunjika, wanandoa wameachana au wanandoa wameuana basi visa na matukio yaliyopelekea kufikia hapo ni kama hicho kisa chako.

Pia jiandae kwa lolote, mume anaweza kugeuka na kuwa mzinzi, mlevi au mkatili. Asipojimaliza yeye basi atakumaliza wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…