Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Mume wako kuendelea kuishi na wewe, kwa hakika kabisa ni mpumbavu aliyebobea.
Siwezi kufuga Malaya ndani ya nyumba yangu.
wewe ni Malaya hustahili kuwa mke wa mtu nenda kaishi na Malaya wenzako huko madangani
 
mzabzab
Wanawake huu uzi wamekimbia kabisa, wakati mwenzao anaomba ushauri,
Jamani wanawake muache roho mbaya mbona sisi mwenzetu akipata shida tunamshauri tuu.
Eti akina Kapeace Atoto
Wanasingizia ni story Haha ha ha.
Hawawezi kuja maana sii ndio wanayoyafanyaga huko makazini kwao ila sasa afanye mwanaume utasikia wanaume malaya kama nini.
Sasa unajiuliza sie wanaume malaya tunatomber mbwa au tunatomba wanawake
 
Hawawezi kuja maana sii ndio wanayoyafanyaga huko makazini kwao ila sasa afanye mwanaume utasikia wanaume malaya kama nini.
Sasa unajiuliza sie wanaume malaya tunatomber mbwa au tunatomba wanawake
Nimeonaa comment ya MWANAMKEE mwenzakeee ameandikaa

Amelowa ,amelowa amenyeheshewa na mvua.alafu akamaliziaa
Hajui kwann hamuoni hurumaa mwanamke mwenzakeee...

Nazan comment hyo kaandika madam @joanh

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeonaa comment ya MWANAMKEE mwenzakeee ameandikaa

Amelowa ,amelowa amenyeheshewa na mvua.alafu akamaliziaa
Hajui kwann hamuoni hurumaa mwanamke mwenzakeee...

Nazan comment hyo kaandika madam @joanh

[emoji23][emoji23][emoji23]
Joannah huyu ameshindikana inaelekea ni yale mashangazi
 
Kwa wale ambao hawajaoa. Njia nzuri sana, ya kisasa, ya kumjua mke anayejitambua na hatakusaliti kwenye ndoa. Ni hivi: Waogope kama ukoma wasichana wasiojua kuandika maneno kama kero (wanaandika kelo), kasoro (wanaandika kasolo) na maneno kama haya. Trust me kwani sitanii. Ni utafiti ambao nimeufanya kwa muda. Hawana kitu kichwani na watamgawiya mwanaume yeyeto anayewatongoza kwa kurudiadia. Utasikia wenyewe wanasema ''alinitongoza mpaka nikaona ni kelo, nikaamua tu nimkubalie'' Hakuna cha kero wala nini, ni malaya tu by nature!
 
Yaaani wewe mpumbavu Sana.Wenzio tunakesha kwa maombi kumuomba Mungu atupe mume sahihi ambaye atatuheshimu na kutujali wewe unachezea mine Bora kisa siku 6 TU ndo ushindwe kuvumilia Tena MUMEO alikuwa mgonjwa????
MSENGEREMA SANA WEWE,MPUMBAVU&MJINGA.
 
Halafu we man imekuwaje ukaja hapa na jazba utadhani wewe ndio mume wa Sara mzuri?

Mbaya zaidi unanwaga matusi tu badala ya kutoa ushauri 😂😂
Ushaur gan mzee hakuna ushayr ni vita tuh 😅😅mkuu inakera sana mm napigaga watu makofi coz hajui anahtaj nn ndio wanaofanya men tuwe wakatili
 
Mwanaume umesalitiwa. Usimfukuze mke. Mwambie aitishe kikao cha wazazi pande zote ili akuombe radhi.

Atakuwa ametia ushahidi.

Baada ya hapo tafuta kimada cha kula papuchi tu. Umaweza kulala nje ya nyumba au kuingiza kwenye chumba kingine ndani ya nyumba hiyohiyo, na hakikisha anajua kuwa ubachepuka.

Endelea na maisha. Akiona panauma aondoke mwenyewe. Au akukatie talaka.
 
Msaada wangu nikukupatia namba ya mzee flani wakigoma huyo nikiboko kwenye lnshu yamapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…