Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Ok Asante nitajitahidi.
Japo nashinda sana home.
Sifa za huyo mwanamke hakikisha hana uhitaji na mume wala kufikiria kuwa na mme , hakikisha ni mwanamke anae jiweza kiuchumi hana njaa njaa. Wala ahitaji watoto.

Tafuta yale madangaji smart yale ambayo yameweka pesa mbele, mazee ya no strings attached, yaani mwanaume kwao sio ishu ila atakua na mmeo kama kazi. Ila uandae kibunda kizuri.

Ukitafuta mwanamke ambaye hana sifa za hapo juu basi utakua umemtafutia mume
 
Sio rahisi kumwambia hivyo
Kwa nini? So rahisi ni kumvulia mwanaume mwengine kyupi? Aisee nyie wanawake balaaa. Yote hiyo ni kwamba huwezi sema maana bado huduma unataka🤣🤣🤣🤣
Jihudumie mwenyewe bwana huku unatafuta kidume anayeweza kukupa show ya kibabe
 
Malaya kazini
 
Binadam banaz Et nmekua Mke Bora sana kwake !!.


Sikia nikuambie Bob, Sisi wanaumez tukishajua tumesalitiwa, HUWA HATURUDISHI IMANI TENA !! .


yaan wiki Moja tu tayari ukaona umebanwa? Je ungekaa mwezi ?.


anakufatilia miezi minne, humtaki, ulishindwa kumshirikisha Mumeo?.

anakuita home, hukujua unaenda kuliwa??.



kwakua ,Mumeo alikupenda sana na umekiri alikua mwema Kwa Kila jambo, Basi binafsi nikutakie tu Ndoa ivunjike na kama haitovunjika, basi iwe ivoivo ya karaha siku zote za Maisha yako!!.
 
Mkuu you are in the Force for sure, which unit do you serve ?! Je unajua pia wake wa army servants wengi wanawindwa sana kutombwer na majamaa kutokana na hasira za uonevu wanaofanyiwa na waume zao hasa Police Force.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…