Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

We jamaa ujawaza mbali. Nimejaribu kuvaa uhusika wa mumewe, naoina nafsi ikiwa nyepesi tena kama hili litafanyika. Hakika linaweza kufaa
Yaani hili ndilo litakalotibu jeraha la mumewe.

Kuna mzee mmoja alichepuka na mke wa mwarabu; mwarabu akajua, halafu mbaya zaidi walikuwa wakiishi majirani. Kilichofanyika ni mke wa mwarabu kuungana na mumewe.
Jamaa alitumiwa pepo la kuparalaizi mwili; mwisho kazi ikafikia ukingoni, akawa ni mtu wa kusaidiwa kama mtoto mdogo; kwa sasa jamaa alishafariki, na mwarabu alitelekeza nyumba akahamia mji mwingine baada ya kurushiana makombora kuzidi.​
 
Na nyie muwe mnawapa wake zenu nafasi hata yakuwasikiliza ona sasa mpaka mke anafanya mazoe na wanaume wengine, mme unakuwa busy kumzidi hata pm
Hahahah kwani wote hawapewi nafasi au tabia za kishenzi tu
 
Mwanamke akiazaa Kugongwaa nje ya ndoaa na Ukamsamehee aisee HAACHIII...NARUDIA HAACHI...!! atatafuta namna nzuri ya kufanya huo upuuzi wake.
Naelewa brother Ila najaribu tu imagine kama mimi ndio nimefanya kitu then naanza kupokea hizi negative comments, sio poa..
 
Naelewa brother Ila najaribu tu imagine kama mimi ndio nimefanya kitu then naanza kupokea hizi negative comments, sio poa..
Kiufupi watu wanamshauri uhalisia bila kufichaa.. Unasikia Mwanamke kauliwaa.. juzi tu arusha mwanamke kangolewa jicho na meno mwanaume hajamuongelesha chochote kafika na kuanza kumzibuaaa! Haya yote ni ukweli kuwa mwanaume hawezi KUVUMILIA USALITII HAWEZIIII. either ajidhuru yeye au amdhuru huyo mwanamke so usalama hapa MWANAMKE AKUBALI KUACHIKA BHASI.
 
Hiyo ndio kazi ya shetani, mwanamke ukikosa heshima unavunja ndoa Kwa mikono yako. Yaliwahi kumkuta jamaa yangu mmoja, ndoa ilivunjika na mwanamke anaishi maisha ya tabu sana. Wanawake kuweni na akili na utashi wa kutunza ndoa. Hilo ni gumu Sana. Ingawa umeomba ushauri Kwa wanawake wenzako
 
Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
Unakosea sana kuomba ushauri kwa wanawake wenzio, maana tunaopaswa kukupa ushauri ni wanaume.

Huyo mumeo hawezi kufurahia tena sex, maana kila mnavyosex, inamjia taswiri kuwa ulikuwa unafanya hivyo hivyo Kwa mchepuko wako. Hapo ni mpaka yeye mwenyewe aamue kumove on, ndio ataweza kuheal, kinyume na hapo, jitihada zako zote ataziona kama maigizo.

Jaribu kutengeneza uwazi, kama simu yako ina password toa. Usiwe mtu wa kununa nuna. Usifanye chochote au kwenda popote bila approval yake
 
Alafu huyu dada alienda saa kumi na kushtuka saa mbili usiku, hayo walipanga na alikuwa tayari kuachana na jamaa. Ila atakuwa alibadili maamuzi. Akome kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…