Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Haimsaidii kwa sisi wanaume
 

Yaani 1989 uliolewa ukiwa 16yrs, leo 2023 bado upo 30s huku mumeo akiwa 60s?

89 hadi leo tayari ni 34, add 16 hiyo ni 50yrs tayari. Kwangu uongo wako upo hapa...mengine nawaachia wenzangu.
 
Huko kwa jamaa hakuna maji na pasi? Haya rudi huko na hiyo skirt ukafue hapo palipochafuka upige pasi.

Msala uliishaje?
 
Tangu saa mbili usiku hadi saa sita usiku hio skirt bado haijakauka tu [emoji19]
 
Mama Edina, kacheza rafu kweli, huo mchepuko umeishia wapi sijui?
 
Yaani 1989 uliolewa ukiwa 16yrs, leo 2023 bado upo 30s huku mumeo akiwa 60s?

89 hadi leo tayari ni 34, add 16 hiyo ni 50yrs tayari. Kwangu uongo wako upo hapa...mengine nawaachia wenzangu.
Amezaliwa 1973 ana 50 yrs bado unacheat bibi wamo
 
😂😂Sawa sijakataa lkin lazima waelew kunawkat mume anaweza kuwa mgonjwa au lah akapata changamoto yoyote ya kushindwa kukutumizia hitaji la kimwili Kama mlivozoea
Lakini MUNGU amsaidie kesi yake nzito sana
Huyu bado mumewe alikua hajafikia hatua ya kutómtimizia tendo la ndoa,akamsaliti,sijui unasemaje kwa huyu,au kuchiti hamuangalii,mnatimiziwa au hamtimiziwi,yaani loose home and away.
 
Unakuta mwanaume hakukukuta bikra , akakupenda hivyo hivyo na akaamua akuoe tena kwa ndoa na uwe mke wake alafu unamsaliti..

Hivi una akili kweli.?

SISI WANAUME MWANAMKE AKISHA SALITI HATUMSAMEHI HATA IWEJE, HAIJALISHI TUTAENDELEA KUISHI WOTE ILA FAHAMU KABISA HAUJASAMEHEWA.

WANAUME TUNA WIVU SANA NA WAKE ZETU, NI HERI UWE UNANUKA CHIU TUTAVUMILIA LAKINI SIYO USALITI.

MAOMIVU YA USALITI WA MWANAMKE DAWA YAKE NI KUTOKUMSAMEHE TUU NA NDIVYO ILIVYO
 
Nisimkamate
 
Fanya hivo
 
Mpaka anatoa machozi,huyu mwamba kweli kiboka yao,mpango wa shetani umetimia hapo kwani lengo lake kuu ni kuua,kuiba na kuharibu na hana msaada wowote kwako tena...
 
Hata mimi tu siwez kumsamehe mke akichepuka, ni bora mngeachana tu ile mwanzo.

Siku ukiteleza ukafanya kosa jingine jamaa atakumaliza huyo, hasira zake hazijaisha hata kidogo.

Kama ni watoto mtalea tu hata mkiwa mbalimbali ili kulinda uhai wenu.
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Tangu tuyamalize na wazazi , huwa anavaa condom sasa ni 3 years anavaa condom, nimeshidwa kumshawishi asiwe anavaa.
Ameshakuona malaya hana imani nawe tena maana unaweza mpa magonjwa ambukizi. Anaishi na ww kwa ajiri ya wanawe tu kwako hayupo tena. Na hataki azae na ww tena.
 

Bora umetusemea
 
Chai hili ni dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…