Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Ni vigumu sana kwa mwanamme kumrudia mwanamke aliyemcheat, huyo ipo siku atakuja tu kukuacha, anza kujipanga kisaikolojia dadangu.
 
Job true true
 
Hayo unayoyamiss umemuomba akakataa?
Kwa kuwa bado mnakaa wote, mweleze hali unayopitia kiundani atakupa msamaha wa kweli.

Ya dunia mengi ukute hata kuna science ya kienyeji au ya kisasa alitumia, mweleze tu hazikuwa akili zako au haukuwa katika ufikiriaji bora.

Haya majabali ya humu yanaongopa umwamba mwingi ooh nitamteka,ooh sijui hivi na tangu ujana wao ukute hawana hata case ya shambulio la mwili.

Kama yeye kapata tatizo la kisaikolojia atakujulisha ni vyema mkaenda kwa wazee wenu wa kiroho au mtaalamu wa saikolojia.

Suala la kuachika liwe very very last option.
 
Baltasar egong
 
Hahaha
 
Hahaha
 
Duuh asee
 
Eeeeh
 
Baltasar egong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…