Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

kama hujajisamehe, jisamehe, tubu)mrudie Mungu, mumeo kubadilika hilo ni la Mungu halaf niulize mumeo ni mtu kaishika sana dini au ni wa kawaida? ila kwenye kuacha kufanya kazi kabisa mmezingua maana sasa hii itapelekea wewe kuwa tegemezi lazma uwe na cha kfanya buana na wivu utakuwa nao sana kwake na utahisi kuna vitu anafanya kulipiza ulivyomfanyia. usije logwa sijue umpe tigo ndo utaharibu zaidi ishi tu maisha ya utakatifu ili utakapotangulia basi uende mbinguni maana kuna faida gani duniani uteseke na ukifa uende motoni? kwa kuwa umeamua kuendelea kuishi naye muombee kwa Mungu, muombee maisha marefu, muombee uchumi wake uongezeke, muombee roho ya kulipiza kisasi isimuingie kingine punguza kuliwazia hilo jambo ishi as if nothing happened.
 
Inategemea na jinsi mtu anavyompenda mkewe, Kuna wanaume hawajui kucheat kbsa Sasa akigundua amechapiwa mke unafikiri ataumia kiasi gani mkuu?
Ah huyo lazima ajinuonge kama sio kua mke.
Thats why always always have a side chick...having a wife alone with no mchepuko is a recipe for disaster i tell u
 
Hayo maombi amuombe Mungu yupi? Hukumu ya mtu aliyezini akiwa kwenye ndoa mbona ipo wazi kabisa kwenye hizi dini kuu mbili?
 
Usifanye utani chief, hii kitu inauma sana, mke msaliti hashindwi kukuua.
 

Mimi ni mwanaume:

Kwa kifupi, kila ukilala naye atakuwa anakumbuka na kuwaza mke wangu ndo alikuwa anafanywa hivi. Ni jambo gumu sana, Muonee Huruma na muombee.

Ila kuwa makini, yakimshinda anaweza kukuzuru huyo, ni mambo magumu na ya hatari sana kutoka nje ya ndoa, ila watu huwa hawasikii.
 
Taratibu kaka,sio rahisi kuacha mwanamke hasa ikiwa mna watoto
Hakuna cha taratibu,huyo malaya wakati amejipeleka kutiwa hakujua kua ana watoto? Hakujua kua yupo ndani ya ndoa? Tena amesema alikua hajakutana na mumewe kama wiki hivi coz mumewe alikua anaumwa,So hiyo ina maanisha ameliwa kwa ridhaa yake,

Achukue mazagazaga yake asepe,hakuna ndoa tena hapo,huwezi kuishi na msaliti eti kisa mna watoto.
 
Sasa mm sikulaum, ila ungebaki na jamaa uliemcheat nae tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…