Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Umemaliza yote...

Let me cement hii point ☝️
 
Ila wadada sehemu za makazini mnakuwa dhaifu sana sijui kwa nn?

swala la kuchepuka lina vichochezi ,ukiviepuka basi unaweza kuepuka ngono kabisa .

Baadhi ya vichochezi hivyo ni ;
1.Nguo zisizo na stara
2. Mazoea ya kijinga haswa baina ya jinsia mbili.
3. Mambo ya kupenda kwenda kweny sehemu za starehe sijui miziki kama sherehe au party na watu wengine.

4.Pombe na vilevi vingine.

Dada zangu mnakuwa na elimu pamoja na ujuzi ndo inawasaidia kupata kazi zenu ila mnashindwa kujiamini ...Mfano wewe umeolewa ila still unashindwa kujitambua hapo kazini ni ujuzi wako ndo unakuweka hapo ila unaanzisha mazoea ya kishamba bila ya kujielewa ni hatari sana.

Baadhi ya mambo ni mepesi ila angalia na matokeo yake ,ngono ya nusu saa unaweza kuharibu furah yako ya milele.


Nawakubali ,wadada wale waliopo serious makazini na wanajua nin kimewaleta urafiki wa kishamba unakuwa vulnerable kuingia kweny mambo ya hovyo ,Hizi kisses and hugs achaneni nazo naona sana hii tabia unaweza kufanya mara ghafla mwenza wako kaingia ofisini kwako basi hapo ni mgogoro mkubwa.


Fanya kilichokuleta unapewa mtego simple unashindwa kuchomoa?
 
Duh
 
fukuza huyu msaliti akapambane huko kitaa aone maisha,bora uishi na Nyoka kuliko na msaliti.
Tatizo aliefundisha sex sio aliemuoa muulize kwanza huyo mumewe alimkuta akiwa bikra au alimuoa akiwa kashatolewa bikra ?
 
Kweli kabisa wanaume hawaachi kutamani na kutujaribu kiukweli kuwa makini ni Bora zaidi
 
Kwa kweli maofisini pamekuwa sehemu za hovyo sana, kuna mahusiano bubu mengi sana, sherehe za kufunga mwaka, vikao vya kufunga mwaka huwa ni get together inayoambatanisha ngono baina ya wafanyakazi.

Terrible sana yani!!
 
Mwambie atafute nyumba ndogo ILI atulize mawazo yake!muahidi kuwa huto fuatilia tena atafute pis kali KABISA!!!

Tanya hivyo utanishukuru baadae!

Kisasi PEKEE ndicho kitakuokoa!mwambie unampenda sana ndio maana umemshauri hivyo!ila atumie kondom kuepuka magonjwa!

Atakushangaa sana!halafu atakupenda TENA!nyumba ndogo ndio itamsaidia la sivyo kisirani maisha yenu yote!
 
Pole sana
Ila dada wiki tu ndo ucheat Jamani wiki hii siku saba au?
Ongeza upendo Kwa mumeo Ishi ukiamini amekusamehe
Jisamehe toka moyoni omba sana Muombee mumeo pia
Ah wee nae unazungumza from perspective ya usingleness. Huyu mke yaani amezoea akigeuka tuu de libolo hili hapa analipanda🤣🤣🤣🤣 so wiki ndefu dada usichulie poa
 
Eh mkuu usimsingizie dogo kwani aliondoka nayo, yeye alitumia mbinu zake za kimedani kuipata K baasi
 
Swali la kijinga sana hili,una umri gani? Nisije kuhangaika kujibu kitoto cha Darasa la pili.
Mkiulizwa swali la maana mnakimbilia kwenye umri mtoto wa darasa la Pili anaweza kukuuliza swali km hilo ? Fikri nje ya box mkuu unapoheshimiwa na wewe tunza heshima yako usijishushie heshima kwa Mambo madogo madogo na usipende ugomvi usio na faida
 
Story Made in China
 
Usifanye utani chief, hii kitu inauma sana, mke msaliti hashindwi kukuua.
Msaliti muwahi kabla hajakuwahi.. Kwa case ya Sarah mzuri inaonyesha kama angefumaniwa moja kwa moja na mume wake na kwa jinsi mume wake alivyokuwa anampenda na kumjali hii stori ingekuwa tofauti..

Apumzike kwa amani baba Swaiba alifumania mke wake akikazwa ndani ya nyumba yake na mshtuko alioupata alidondoka na kufia pale pale.

Msaliti anaweza kukuua kwa njia nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…