Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Huyu nimemuona leo hapa nilipo ni chura Mweupe sijawahi kumuona chura kama huyu aisee hapa nikifungua Tourists Centre si nakula hela za kutosha au? Waje kumuona tu wakachangia dollar 5 kwa kichwa na huyu anapatika Tanzania.
Wewe unasemaje mdau wa jf? Umewahi kumuona chura mwenye rangi nyeupe?
Wewe unasemaje mdau wa jf? Umewahi kumuona chura mwenye rangi nyeupe?