Umewahi Kumuona Chura Mweupe? Ingia hapa ujione utajiri wa Tanzania kwenye suala zima la utalii

GMO
 
Wapo wengi kwenye majaruba ya mpunga wanatupigia kelele tu
 
Anasikia au ni kiziwi?
Anakuchora ukimsogelea na usiku huu nimemcheck rangi nyeupe imetoweka kawa albino mchana nilimuona ana rangi nyeupe pee sasa hivi ile rangi nyeupe imeyeyuka anaonekana km mzungu fulani hivi
 
Unafungu Unafungua tourists centre unapiga hela na chura mmoja!
Kupata hela kumbe rahisi hivi!
 
Tuyajuayo kuhusu dunia ni machache mno na hivyo hilo nalo laweza kuwa sehemu ya tusiyoyafahamu.Albinism si kwa binadamu pekee bali ni kwa viumbe wote,geographical distribution inachangia mambo haya mfano:kama wanyama wa New World continent hawafanani na wanyama wa Old World continent hakuna uwezekano wa vyura kuwa reference?Evolutionary change or stand still evolution haiwezi pia kuwa sababu?
 
Vyura hawa wanapatikana kwenye baadhi ya mikoa, hasa nyanda za juu kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…